MAELFU YA WANANCHI WAJITOKEZA KATIKA MAPOKEZI YA MH.REGIA MTEMA HUKO IFAKARA
Posted by Bigie
JAMII
7:17 PM
Maelfu ya wananchi wa mji wa Ifakara wakiwa barabarani ambako walizuia ambulance iliyobeba mwili wa marehemu.Kwa mujibu wa wenyeji, haijawahi kushuhudiwa mapokezi kama haya katika msiba wowote ule katika historia ya mji huu.Mwenyekiti wa CHADEMA taifa alilazimika kuwaomba vijana kutulia kwani walikuwa wamejawa na jazba na taharuki.Baada ya mwili kuingizwa katika nyumba ya familia kwa muda, ulihamishiwa hospitali hadi baadaye utakapotolewa kwa ratiba nyingine.Msafara kutokea Dar es salaam uliwasili Ifakara saa 4

Posted by Bigie
on 7:17 PM.
Filed under
JAMII
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0