VITUKO VYA WIKI...."NGUZO YA UMEME YACHANWA NA RADI WAKATI WA MCHANA KUKIWA NA JUA LIKIWAKA HUKO MBOZI



Katika hali isiyo ya kawaida mida ya mchana kabisa eneo la kuelekea Vwawa mbeya kutokea Mbozi Mission kulitokea tukio la ajabu kidogo ambapo radi ambayo hajurikani ilitokea wapi ilipiga nguzo ya umeme na kuichana vibaya huku mifugo ikiwa imesaimika.

Akizungumza na wananchi Baadhi juu ya tukio hilo Mwandishi wetu maalum wa Huko Mbozi, walidai kwamba tukio hilo pia liliwashangaza wengi na kuwaacha na maswali mengi.

Hata hivyo mkazi mmoja wa eneo hilo alisema kwamba Radi kama hizo zinazo piga mchana na hakuna Mvua bali Jua tuu hulenga kufanya maafa Fulani. Tukio hilo lilitokea Mchana  sa saba.

Posted by Bigie on 8:45 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.