AISHA EDDY NDO MISS NYAMAGANA 2012

Miss Nyamagana 2012 ni Aisha Eddy (katikati) akifuatiwa na Messy na  Happy Daniel.

Hawa ndiyo wanyange wote wa kinyanganyiro cha miss Nyamagana 2012.

Washereheshaji wa tukio sis Lulu Sanga na Masanja Mkandamiza wa OK.

Majaji: Kutoka kulia ni Mr. Geoge Greek (Rock Bottom Club), Mr. Meshack Bandawe (PPF), Lyn Dunn (Monarch Hotel & Pavallion) na  Ester wa Mwanza View.

 Majaji: Kutoka kulia ni Gabriel Lyotam (Sahara Media Group), Ester wa jarida la Mwanza View na Lyn Dunn (Monarch Hotel & Pavallion) 

Ze pipo in da area.....

Meza ya moja wa wadhamini miss Nyamagana 2012 (Sahara Media Group) wakiongozwa na Mr.Rafael Shilatu (mwenye t-shirt nyeupe).

Ze anaza area

Meza ya wadahamini wakuu kupitia kinywaji cha Reds TBL.

Kutoka kushoto ni wajasiliamani maarufu  jijini Mwanza, 'Wity' wa Whitney Fashion, 'Fulo' wa Flora Salon na Shost wao wakifuatilia yanayojiri.

Mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya Nyamagana Baraka Konisaga akifungua mashindano.

Mwanamuziki toka nchini Tanzania Ditto akitoa burudani.

Flowers...

Free style...

Mwanamuziki toka nchini Tanzania mzaliwa wa Mwanza, Hafsa Kazinja akitoa burudani kwa wahudhuriaji miss Nyamagana 2012 ambapo alikosha vilivyo kiasi cha kurejea tena kutoa burudani.

Mc Masanja Mkandamizaji hakuona nongwa kujumuika katika dance la madensa wa Hafsa Kazinja.

Show ya kwanza kwa mwanadada Linnah tangu alipodondoka toka nchini Marekani ameifanya mkoani Mwanza ndani ya Miss Nyamagana.

Flowers part two'

Rais wa Channel Africa Muddy Mtabora naye alikuwepo...

G and Platnum

Mkurugenzi wa F-Pluss Entertainmen Mr. Promo aka Fabian Fanuel naye alikuwepo.

Miss Tanzania 2011-2012 Genevive Mpangala akiuliza maswali washiriki walioingia Top 5.

Chief Judge Mr. Meshark Bandawe akitoa matokeo.
Do you know who is miss photo gennic?

 Aisha Eddy ambaye pia ni hatimaye alitawazwa kuwa Miss Nyamagana 2012, ndiye awali aliye nyakuwa taji la Miss photo Genic toka PHOTO SPOT.

Aliyekuwa Miss Nyamagana akiwa katika poz tayari kulivua taji la hilo, Ni mrembo ambaye pia anashikilia taji la Miss Mwanza ambalo siku si nyingi atalikabidhi kwa mrembo wa mchuano ujao.

Mwandaaji wa shindano hilo Muhksin Mambo toka Stopers Entertainmen akikaribishwa kusema jambo na Mc. Masanja Mkandamizaji.



Winners...

Picha ya washindi na majaji.

Posted by Bigie on 8:33 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.