IKULU: RAIS WA SOMALIA AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI TANZANIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais  Somalia Mheshimiwa  Sheikh Shariff Sheikh Ahmed leo Mei 4, 2012 kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, baada ya mgeni huyo kuhitimisha  ziara yake ya siku mbili nchini. Rais huyo wa Somalia alikuja nchini kwa mazungumzo na Mheshimiwa Rais Kikwete ambapo alitoa shukurani zake kwa Tanzania kutokana na misaada mbalimbali ya kibinadamu iliyopata na inayoendelea kupata pamoja na kuisemea vyema Somalia katika medani za Kimataifa na  za Kikanda kila alipopata nafasi hiyo.Picha na IKULU

Posted by Bigie on 11:10 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.