JK AKUTANA NA RAIS WA SOMALIA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Sheikh Shariff Ahmed aliyekutana naye jana june 2, 2012 jijini Arusha.
Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete na mgeni wake waliongelea hali ya usalama katika nchi hiyo ya pembe ya Afrika na pia akamhakikishia Rais huyo ushirikiano wa kila aina katika kuhakikisha utulivu unarejea nchini Somalia.

PICHA NA IKULU

Posted by Bigie on 3:52 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.