KESI LA LULU YATINGA TENA MAHAKAMANI KISUTU

Lulu (katikati ya askari, mbele) akipelekwa kizimbani leo.
Kesi ya mauaji inayomkabili msanii wa filamu za maigizo nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, leo ilifika tena, Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu Jijini Dar es Salaam ambapo upande wa mashitaka ulisema upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika hivyo kesi hiyo kuahirishwa mpaka Juni 18 mwaka huu.

Posted by Bigie on 11:13 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.