MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA IRINGA, RITTA KABATI AMWAGA MIKOPO KWA WANANCHI
habari za kitaifa 4:11 AM
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa, Ritta Kabati (Kushoto) akimkabidhi mwanachama wa kikundi cha Agape Women Group, Mwalimu Beatrice Kibiki mkopo wa Sh. 200,000 jana. Chanzo: Francis Godwin