PICHA YA PAMOJA YA JK NA WANAHABARI WA ARUSHA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akila pozi na baadhi ya wapiganaji wa jiji la Arusha a.k.a cream ya wanahabari wa jiji la Arusha ambalo walifika uwanja wa ndege wa Kimataiafa wa Kilimanjaro na baadaye hoteli ya Ngurdoto wakati wa ujio wa Rais wa Somalia Sheikh Shariff Sheikh Ahmed  jana jioni . Wa tatu kushoto ni mkuu wa mkoa wa Arusha  Mh. Magesa Mulongo na wa kushoto kabisa ni Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mh.  Nyirembe Munasa. 

Wengine toka wa pili kushoto ni wapiganaji Peter Saramba (Mwananchi), Prisca Libaga (MAELEZO), Raymond Nyamhula (Star TV), Mustafa Leo (Uhuru FM), Shabani Mdoe (Uhuru na Mzalendo), John Nguge (Nipashe), Deogratius Mpwaji (Star TV), Mark Nkwame (Daily News) na Filbert Rweyemamu (Mwananchi)

Posted by Bigie on 6:57 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.