Taswira Za Ziara Ya Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye Huko Songea

 Nape akizindua mradi mabanda 119 ya biashara eneo la Mshengano,Songea. Vibanda hivyo vya CCM vimejengwa na CCM kwa sh. milioni 206.
   Nape akisisitiza jambo wakati akihutubia mkutano huo
 Kina mama wakigara gara chini mbele ya Nape (jukwaani) baada ya kuingiwa na hotuba yake.
 Nape akishiriki kucheza ngomabaada ya kuwasili Uwanja wa MajiMaji.
 Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo kimeiteka Songea baada ya umati wa wananchi wa mji huo kujitokeza katika mkutano wa hadhara wa CCM uliohutubiwa na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye  kwenye Uwanja wa Majimaji mjini Songea mkoani Ruvuma. Pichani, Nape akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja huo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma Cornel Msuha
Nape akipita kwenye kanga zilizotandikwa na kina mama waliovutiwa na hotuba yake.Picha na Bashir Nkromo

Posted by Bigie on 11:04 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.