Uzembe Wa Madereva Na Ubovu Wa Taa Barabarani wasababisha Ajali



Ajali hii imetokea alfajir ya leo kwenye makutano ya mandela road na kilwa road ilihusisha malori mawili kwenye taa za kuongozea magari uhasibu ambapo mashuhuda walisema lori la kampuni ya Azam halipo pichani, lilishika breki ghafla katikati ya taa za kuongozea kupisha gari ndogo iliyokuwa ikitokea jitegemee kwenda sabasaba,dereva wa lori  alishindwa kulidhibiti wakati akijaribu kulikwepa lori la  Azam na kuishia kugonga nguzo ya Taa na kuanguka ,dereva alivunjika miguu yote miwili na kukimbizwa hospitalini.
Ahsante
Na Paul Marenga

Posted by Bigie on 5:10 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.