SULEIMAN MAGOMA AITAKA JAMII ISHIRIKI KIKAMILIFU ZOEZI LA KUPINGA MAUAJI YA ALBINO.

mimi na mdogo wangu Magoma Hamisi kwenye graduation yake ya kuhitimu elimu ya msingihapa tulikuwa chuoni tukisherehekea mwaka mpya wa 2012. tunamshukuru mungu tuliiona 2012 ilikuwa 02/06/2012 siku ya uzinduzi wa documentary inayohusu maisha yangu na baadhi ya changamoto nilizowahi kukutana nazo kama ALBINO lengo likiwa ni kutoa elimu kwa watanzania juu ya watu wenye mitazamo potofu juu ya ALBINO uzinduzi ulifanyika chuoni UDOM nawashukuru sana wote waliohudhuria siku hiyo mungu awabariki mwanzoni mwa mwaka huu tulienda kutembelea kituo cha kulelea yatima cha nyumba ya matumaini kilichopo mihuji Dodoma ilikuwa siku ya graduation ya kuhitimu kidato cha nne KIRIKI SECONDARY SCHOOL 2007 mimi,my mam na my young sister My mam and my young sister Enzi hizo niko O LEVEL Kiriki Sekondari upande wangu wa kushoto ni Rose Ninga,Sudi Aziz na Janeth Zefania hawa wote ni rafiki zangu Huyu ndiye aliyenileta hapa duniani My mam Zuhura nampenda kuliko kitu chochote Aliye katikati ni mdogo wangu Biasha na rafiki yangu Antony Matanga ilikuwa 23/01/2010 katika graduation ya kuhitimu kidato cha sita nakumbuka graduu yetu ilikuwa poa sana na 2li Enjoy sana mimi na mdogo wangu Biasha Magoma enzi hizo bado tuko wadogo. nampenda sana mdogo wangu ilikuwa ni 24/07/1989 ndio siku niliyozaliwa aliyenibeba ni bibi yangu mzaa mama anaitwa MAGORI MAGOMA na upande wangu wa kushoto ni mama yangu a.k.a mzaa chema Miss ZUHURA MAGOMA. picha hii ilipigwa 24/07/1989 wa kwanza kutoka kushoto kwangu ni Prof Davis Mwamfupe,Prof Casmir Rubagumya na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mh Benard Membe. Hapo nilikuwa mwaka wa kwanza chuoni yani UDOM mwaka jana unaemuona kwenye picha ni mama yangu mzazi MISS ZUHURA MAGOMA enzi hizo akiwa binti. 

Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru sana mwenyezi mungu kwa kuniwezesha leo hii kutimiza miaka 23 ni kiwa ni mzima wa afya njema vilevile napenda kumshukuru mama yangu kwa kunihifadhi ndani ya tumbo lake kwa kipindi cha miezi tisa na kunipa malezi bora tangu nimezaliwa hadi leo hii sina cha kumlipa zaidi ya kumuombea dua njema kwa mwenyezi mungu pia namshukuru sana my lovely uncle HAMISI MAGOMA kwa malezi bora anayonipa na yeye pia sina cha kumlipa zaidi ya kumuombea dua kwa mungu na pia nashukuru sana familia yangu akiwemo mke wa mjomba wangu Rahma hamisi, na wadogo zangu biasha,magoma,nyambarya na shazir kwa ushirikiano mkubwa wanaonipa MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU NA YENYE BARAKA TELE. 

Pia nawashukuru rafiki zangu wote pasipo kuwataja majina kwa sababu mko wengi sana kiukweli mnamchango mkubwa sana katika maisha yangu mmekuwa mkinipa ushauri juu ya mambo mbalimbali nawapenda sana Mungu awabariki 

MWISHO Napenda kuishauri jamii kushiriki kikamilifu kupinga MAUAJI YA ALBINO katika nchi yetu. kumbuka binadamu wote ni sawa na ALBINO ni binadamu sawa na binadamu yoyote yule anayo haki ya kuishi na kupata hifadhi ya maisha yake kutoka katika jamii inayomzunguka AHSANTENI SANA na ninawapenda sana. 

Ni mimi  SULEIMANMAGOMA 
Kwa  habari  zaidi, tembelea blog yangu  hapo chini:

Posted by Bigie on 7:13 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.