AIBU: HUU NDO UCHAFU UNAOFANYIKA NDANI YA KUMBI ZA STAREHE HAPA NCHINI.....SEHEMU YA KWANZA
habari za kitaifa 1:17 AM
Fani ya muziki na maigizo hapa nchini imekuwa ni chanzo cha kuporomoka kwa maadili ya mtanzania.Hali hiyo inasababishwa na :
1.MAVAZI WANAYOVAA
2.KUCHEZA NUSU UCHI
3.KUFANYA MAPENZI CHOONI
4.KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZISAMBAZA MITANDAONI, NA
5. KUTOA VIDEO ZA X
1.MAVAZI WANAYOVAA
2.KUCHEZA NUSU UCHI
3.KUFANYA MAPENZI CHOONI
4.KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZISAMBAZA MITANDAONI, NA
5. KUTOA VIDEO ZA X
Uchunguzi wa kina unaoendelea kufanywa na mtandao huu umebaini kuwa, kuongezeka kwa wimbi la Picha za utupu au nusu utupu ni matokeo ya maovu na uchafu unaofanyika ndani ya makundi haya ya sanaa ambayo hujiita "VIOO VYA JAMII"....
Hatua za awali za uchunguzi huu zinaonesha kuwepo kwa kumbi za starehe hapa nchini ambazo watu huingia na kucheza UCHI au wakiwa NUSU UCHI.
Mbali na kucheza nusu uchi, tathimini inaonesha kuwa watu hutongozana na kufanya mapenzi CHOONI au HADHARANI mithiri ya WANYAMA wa porini..
Zifuatazo ni picha zinazothibitisha uchunguzi wetu wa kutongozana na kufanya hadharani.....
ANATONGOZA.....
MCHEZO UNAANZA......
WANAENDELEA......
MCHEZO UNAENDELEA.....
TUNA MENGI AMBAYO TUNAHITAJI KUYAWEKA HADHARANI BILA KUYAFICHA ILI JAMII IJUE NA ICHUKUE HATUA KWA MANUFAA YA TAIFA LETU.....
KESHO TUTAKULETEA SEHEMU YA PILI YA UCHUNGUZI WETU.



