AIBU YA MASTAA BONGO: MIAKA MIWILI YA "UCHAFU" WA ASHA MADINDA
habari za kitaifa 5:26 PM
KUMBU KUMBU YA SAKATA HILO LA AIBU.
...kulia kwake ni unga..bila shaka ulimpotezea kumbukumbu
Tarehe 18 may, 2010 tangu picha hizi zianze kusambaa mitandaoni,Aisha alifunguka kuwa picha hizi ni za kutengenezwa.
Mtandao wa Global publisher ulimtaka Asha awathibitishie watanzania kuwa picha hizi si zake lakini alishindwa kuthibitisha kuwa picha hizo ni za kutengeza, zilitengnezwa wapi na lini na vigezo gani vinavyoonesha picha hizo ni za kutengeneza.
Ushahidi wa Global kuwa, picha hizo ambazo za mnato na video ni za Aisha mwenyewe upo wazi na hakuna shaka yoyote.NI TAMAA ZA WASANII WA BONGO NA ULIMBUKENI WAO.
.
Hata hivyo, sehemu kubwa ya picha za mnato na video hizo zinaonesha wazi kwamba, Aisha alikuwa tayari kupigwa picha hizo, kwani kuna wakati alikuwa akitazama kamera na nyingine akiwa ameweka pozi.
Hata hivyo, sehemu kubwa ya picha za mnato na video hizo zinaonesha wazi kwamba, Aisha alikuwa tayari kupigwa picha hizo, kwani kuna wakati alikuwa akitazama kamera na nyingine akiwa ameweka pozi.
Katika habari hiyo, Asha Baraka alinukuliwa akisema kuwa, anaamini Aisha aliteleza na hivyo ameamua kumsamehe na kumrudisha kundini kuendelea kupiga mzigo kama kawa.
