SINTAH APIMA NGOMA NA KUYAWEKA MAJIBU KATIKA WEBSITE YAKE.....


"zoom ,,,,, tena zoom halafu hii ndio habari ya blue monday"....sintah

Add caption



HAYA NDO  MANENO YAKE ALIYO YAANDIKA:
"Sisemi nao eeh,sisemi nao wanao comment mbofu mbofu kuhusu jlo,,

Waganda hapa wangesema nakowaaaaa, maana mtoto wa watu sili silali sihemi

sina la kusema zaidi, mimi huwa ninafanya vitendo tu,, Je wewe umepima? au kazi kushadadia ya watu,,, haya zueni balaa lengine hili naona mmeloana na macho yamewatoka kama fundi saa akiangalia mishale kama iko sawa.

Kama nawaona mlivyokuwa na hasira n comment lolest."
 
 
*****************************************************
 
MTAZAMO  WANGU 
Sikatai  wala sipingani  na alichokiweka. Lakini  najiuliza  yote  hayo ya nini?   Au yuko kibiashara zaidi?......

Hata hivyo bado  siamini kama  kuna  taasisi ya  afya  inayoweza kuanika  majibu kiasi hiki.

Inakuwaje mtu akipata ukimwi  leo  na akaendelea kuonesha  CHETI alochopewa kinachoonesha  si mwathirika.........Hii ni hatari

HUU  NI MTAZAMO WANGU

Posted by Bigie on 12:00 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.