VIDEO: OMMY DIMPOZ- "BAADAE" ( OFFICIAL VIDEO HD)




Jumapili Sept 9, 2012 ulifanyika uzinduzi rasmi wa video iliyofanywa jiji la  Joz South Africa ya wimbo wa Baadae wa Ommy Dimpoz pale Maisha club. Video ilisubiriwa kwa hamu sana kiasi ambacho hata baadhi ya Tv stations zilikuwa zikiitumia ile Teaser ya making iliyotolewa takribani wiki mbili zilizopita.

Haya sasa video hiyo imeanza kuonekana  katika vituo vya runinga hapa bongo, je imekata kiu uliyokuwa nayo mara baada ya kuona ile teaser ya making yake?  Itazame video yote hapa.



Posted by Bigie on 3:06 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.