AIBU: HUU NDO UCHAFU UNAOFANYWA NA KIKUNDI CHA " KANGAMOKO"
habari za kitaifa, kanga moko, picha za utupu 6:47 PM
Kanga moko ni kundi ambalo linatia aibu.....Washiriki wake hucheza UCHI ama hubakiza Kanga moja tu.........
Staili yao ya kucheza inatia aibu.Hucheza mfano wa watu wanaofanya mapenzi.Mchezo huo hufanyika mbele ya kundi la watu wa rika mbali mbali wakiwepo watoto......

Huu ni wakati muafaka kwa BASATA kuliangalia hili


