HAYA NDO MAMBO WANAYOTENDEWA WASICHANA KABLA YA KUPEWA CHETI CHA " UBIKRA"


 Ni kawaida kwa King Mswati  kuichagulia  "Embe dodo"  wakati ukifika.......

Mpekuzi inakuletea simulizi fupi sana kukujuza jinsi ambavyo jamaa huyu hujichagulia hao vimwana bikira........


 Kwanza kabisa, wasichana waliopendekezwa hukabidhiwa katika kundi la akina mama watu wazima  ambao  huwavua nguo na kumkagua mmoja  baada ya mwingine........Angalia wasichana wakiwa katika foleni hapo juu
Wakati wa ukaguzi,kila mmoja huingizwa vidole  ili  kuhakiki kama kweli ni bikra....hahahahhh.!!!!! hii  kali
Ikithibitika  kuwa  wewe  ni  bikira, basi kuna vyeti maalumu ambavyo hupewa.......

Vipi hii mambo ingekuwa Bongo

Posted by Bigie on 2:20 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.