"NIVAE NGUO YA NDANI SAIZI YANGU NITAIPATA WAPI?"-----MWASITI MOHAMMED
BONGO MOVIE, habari za kitaifa, picha za utupu 5:39 PM
Mwasti Mohammed ni msanii wa bongo move anayeishi Mbagala jijini Dar......
Anadai kwamba zamani alikuwa mwembamba sana lakini baada ya kuvunja ungo ghafla alianza kunenepa na haya makalio amerithi kwa shangazi zake .......
Kuhusu kusumbuliwa na wanaume,Mwasiti anafunguka kama ifuatavyo:“Usumbufu ni mkubwa sana kwani wanaume wengi wananitokea huku wengine wakinishawishi kwa fedha lakini nina msimamo.”
Mbali na usumbufu, mwanadada huyu anafunguka zaidi na kudai kuwa anatamani sana kupungua maana hapendi kabisa kuwa mnene na mara nyingi huwa anapenda kuvaa dira ili kyaficha makalio yake......
Na kuhusu saizi ya mavazi ya ndani,Mwasiti anaropoka kama ifuatavyo...:
“Nivae nguo ya ndani saizi yangu nitaipata wapi?”


