"HIZI NI PICHA ZA AIBU AMBAZO ZIMENIKERA SANA"......MDAU

Huu ni ujumbe wa msomaji wetu akieleza jinsi anavyokerwa  na  mmomonyoko  wa maadili hasa kwa dada zetu.....

Ungana naye, na tupe maoni yako
...........................................................................................................





Habari yako Mpekuzi.

Mimi  ni  mdau  wa blog yako.Hongera sana  kwa jitihada za kuwaumbua  dada  zetu  wanaopiga picha  za utupu na kuzisambaza au kuziuza......

Kwa kufanya hivyo, jamii  imeweza kuwatambua watu hao kwa sura  na majina  yao.Hali  hii  imewafanya watu wazidi kujihami  na  hao mabinti......

Tumeshuhudia  hivi karibuni  wasanii wetu  wakiomba  samahani kwa watanzania  kutokana  na  Picha zao chafu.Isingekuwa kuwaumbua naamini wasingejitambua....

Inasikitisha kuona dada zetu hawataki kubadilika.Huyu ni msichana  ambaye  kapiga picha za aibu sana.Simfahamu vizuri ila nasikia anaitwa Beige.Naamini siku moja wataacha.

 NI  MIMI  MDAU NA MSOMAJI WENU WENU
------------------------------------------------------------------

Je, una kero au habari yoyote.Tupatie kwa njia ya email: wapekuzihuru@gmail.com
------------------------------------------------------------------

Posted by Bigie on 4:44 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.