PICHA NUSU UCHI ZINAZOONESHA MATITI YA MSANII RAYUU ZASAMBAA TENA


WIKI kadhaa zimepita baada ya picha za msanii Rayuu zilizokuwa zinaonesha tattoo kuvuja mitandaoni, safari hii hali imekuwa mbaya zaidi kwani picha nyingine zinazoonesha matiti yake zimenaswa na mtandao huu na mwenyewe alipotafutwa kuelezea alibaki mdomo wazi na hajui ni mtu gani anayezisamabaza.

Katika utetezi wake ,Rayuu
amedai kuwa hajui lolote kwani picha hizo zipo kwenye simu yake iliyopotea na hajua ni nani anayezisambaza ingawa aanaamini kuwa anayefanya hivyo ana nia mbaya ya kumchafua. .


“Jamani mimi sieliwi hizo picha zinatoka kwa nani, najua ndiyo kwenye simu yangu nilikuwa na picha hizo na baada ya kupotea sijui nani anayefanya upuuzi huo, nilipiga hizo picha kwa upendo wangu lakini sikuwa na maana zitoke na kusambaa mitandaoni,”
alisema kwa hasira

Posted by Bigie on 8:41 PM. Filed under , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.