SNOOP DPGG ATOA SABABU ZA KUMPIGIA KURA RAIS BARACK OBAMA NA KUMTEMA MITT ROMNEY



Snoop Dogg ameamua kuandika kwenye karatasi sababu za kwanini atampigia kura rais Barack Obama kwenye uchaguzi wa mwezi ujao na kwanini hatompigia kura mpinzani wake Mitt Romney wa chama cha Republican na kupost picha ya kile alichokiandika kwenye mtandao wa Instagram.

Zisome sababu hizo na ukamilishe weekend yako kwa kicheko kirefu.

Posted by Bigie on 5:41 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.