MISS TANZANIA 2010 AKUMBWA NA KASHFA YA PICHA ZA UCHI
geneviv emmanuel, picha za utupu 2:41 AM
Katika Hali ya Kushangaza leo asubuhi mitandaoni hasa Facebook blog yenye jina la Miss Geneviv Mpangala inasambazwa ikiwa na picha zinazosemekana ni zake za utupu (Hatuna Uhakika) na kusema kuwa anajiuza na number ya simu imetolewa....
Mtandao huu kwa kuangalia hiyo blog kwa makini inaonekana kuna mtu ana bifunaye na hivyo kadhamiria kumchafua au kumuumbua ..
Tunasema hivi kwa sababu blog hiyo ina post moja tu ambayo ndio hiyo ya huyo dada .....
Haya ni baadhi ya maelezo katika blog hiyo:
Sasa inawezekana kuna mtu ametengeneza ili atimize lengo lake maana ukiiangalia kwa makini ni kama haina uhalisia kwa asilimia flan...
Embu na wewe pitia blog hii na utoe maoni yako....
BLOG: << HAPA>>

