KUINGILIWA KINYUME NA MAUMBILE HAKUFAI......EPUKA KUJIZIBA MATAMBARA MAANA NI AIBU....!!!!!


Hii  ni picha  ya  mashoga ambao  bado  hawajitambui......Ni  jamii fulani  ya  watu  ambao UZUNGU  umewaponza.....

Ndugu  zangu,  ni  imani yetu  kuwa  jamii yetu  inahitaji kuelimishwa  sana ili tuweze  kuikomboa  mikononi mwa  hii  dhambi ambayo  ndo  dhambi kubwa  kuliko  zote......

 Tusipende  kuiga  kila kitu toka  kwa  WEUPE.Kabla  hujafanya maamuzi  yoyote Ni bora ukumbuke mambo yafuatayo:-
 
1. TIGO  Sio tendo asilia katika swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..

Wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. ........

  2.Mpaka  sasa  sidhani  kama  kuna kondom  imara yenye uwezo wa kustahimili joto la huko "nyuma" .....

Kondom za kawaida  husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo mengine yatokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya haja  kubwa......

 3.Mara mishipa ya makalioni  ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya shughuli hiyo.

EPUKA  KUJIZIBA  MATAMBARA....UTU  WAKO NI  BORA  KULIKO  HIYO  STAREHE  YA  DAKIKA CHACHE 

Posted by Bigie on 2:30 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.