RAIS KIKWETE AMTUNUKU BI KIDUDE NISHANI YA SANAA NA MICHEZO



Katika kuadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Tanzania jana Rais Jakaya Kikwete alimtunuku Nishani ya Sanaa na Michezo muimbaji mkongwe wa muziki wa Taarab nchini, Bibi Fatma Binti Baraka Khamis (Bi. Kidude) kwa mchango wa kipekee kwa taifa la Tanzania katika nyanja ya sanaa.

Pamoja na Bi. Kidude, watu wengine katika makundi mbalimbali walitunikiwa nishani za heshima katika halfa iliyofanyika jana kwenye viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.

Posted by Bigie on 12:31 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.