RIHANNA AUNGANA NA CHRISS BROWN ABDIJAN KWA AJILI YA KUSHUSHA BURUDANI KATIKA TUZO ZA KORA
BONGO FLEVA, habari za kitaifa 3:10 AM
Hii ni video ya chriss brown na Rihanna wakiwasili Abdijan kwa ajili ya kutumbuiza katika tuzo hizo.....
Wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo hizo ni pamoja na Ali Kiba, (Dogo) Aslay na Saida Karoli.
Ali Kiba alitajwa kuwania kipengele cha Best Male East Africa kwa wimbo wake Single Boy aliomshirikisha Lady Jaydee ambapo anachuana na Jimmie Gait Feat Dk – Furi Furi Dance, Kenya,Kidum Feat Sana – Mulika Mwizi, Burundi, Redsan – Ila Wewe, Kenya, Chris D – Aisha, Burundi na Mulatu Astatke – Ethiopie, Ethiopia.
Aslay alitajwa kwenye kipengele cha Best Male Newcomer na wimbo wake Niwe Nawe akipambana na Floby – Saanida, Burkina Faso, Loyiso – Wrong To You, Afrique Du Sud, Aziz Azion – My Oxygen, Uganda, Davido – Dami Duro, Nigeria, John Chiti – Wapusuku, Zambie.
Naye Saida Karoli anawania kipengele cha Best Female East Africa kwa wimbo wake Sakina ambapo anachuana na Juliana Kanyomozi – I Am Ugandan, Marya – Shiki Simu, Kenya, Helen Berhe – Lebe, Ethiopia, Asther Aweke – Lu Mili, Ethiopia na Ikraan Caraale – Gaarsiiya, Somalia.
Posted by Bigie
on 3:10 AM.
Filed under
BONGO FLEVA,
habari za kitaifa
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0