SHOW YA D KNOB YAKUMBWA NA FUJO KUBWA ILIYOUA MTU MMOJA
habari za kitaifa 12:06 AM
Rapper aliyewahi kuhit na ngoma kibao ukiwemo ‘Sauti za Gharama’ D-Knob amesema katika show yake aliyoifanya siku ya Christmas palitokea fujo kubwa kiasi cha kudaiwa kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Kupitia Facebook, D-Knob ameandika:
Juzi 25, december was having a show Ukumbi wa NJombe Green Park Kinyerezi huko. Response ilikuwa poa ila mwisho likatokea bonge moja la fujo.
Nashukuru mungu niliondoka salama but jana nimepewa habari kuwa kuna mtu alipoteza maisha na wengi kuumia, na kiukweli inanisikitisha.
Pole kwa waliofiwa na walioumia. My heart is with u all. Real sorry 4 what happened.Fujo Miyeyusho
Posted by Bigie
on 12:06 AM.
Filed under
habari za kitaifa
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0