SHYROSE BHANJI AFANYIWA OPERATION NCHINI INDIA



Mtandao huu unapenda kumpa pole mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Shyrose Bhanji kwa operation aliyofanyiwa wiki hii nchini India.


Kupitia Twitter, ameandika, “I’m so much in pain I’m not even able to talk. Am not doing too good today but the docs & nurses are taking good care of me! Last nite couldn’t sleep due to a lot of pain. Leo pia nimeamka na maumivu sana.”

Ugua pole mheshimiwa na tunakuombea upone haraka.

Posted by Bigie on 3:22 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.