TREY SONGZ AIKATAA PICHA INAYOONEKANA AKIMBUSU MWANAUME MWENZAKE....
habari za kitaifa, picha za utupu 4:26 AM
Muimbaji wa R&B Trey Songz ameibuka na kukanusha kuwa si yeye aliyepiga picha iliyoenea mtandaoni akiwa anambusu mwanaume mwenzie.
Trey amekuwa akizushiwa kuwa shoga kwa muda mrefu lakini picha hiyo imewafanya wengi waamini kuwa ni kweli sio riziki.
Picha hiyo inaonekana ilichukuwa kwenye siti ya nyuma ya gari ikionesha mtu anayefanana na Trey akimbusu mwanaume.
Baada ya kuiona picha hiyo Trey alitumia Twitter kuandika:
Posted by Bigie
on 4:26 AM.
Filed under
habari za kitaifa,
picha za utupu
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0