LADY JAYDEE NA MUME WAKE WAENDELEA VYEMA NA SAFARI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO....
habari za kitaifa, lady jaydee 4:02 AM
Jana Lady Jaydee akiwa na mumewe Gadner G Habash walianza safari yao ya kuupanda mlima Kilimanjaro kwa kupitia njia ya Marangu.Safari hiyo ya siku sita inaongozwa na kampuni ‘Kilidove Tours and Safaris Ltd’ ya Arusha.
Wengine wanaoongozana nao ni mpiga picha wake Justin Bayo.
