TASWIRA KUTOKA NYUMBANI KWA MAREHEMU SAJUKI, TABATA-BIMA JIJINI DAR
habari za kitaifa, sajuki 5:25 AM
Mke wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki', Wastara Juma, akiwa na simanzi nzito kwa kumpoteza mumewe.
----------------------------------------------------------------
Pichani juu ni baadhi ya taswira za waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki', Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa.




