GHANA YAMNGOJA CHRIS KWA HAMU



Raia wa Ghana wamekuwa na hamu kubwa juu ya ujio wa msanii maarufu Chris Brown aka Chris Breezy ambaye anatarajia kuwasili nchini humo tarehe 5 Machi kwa ajili ya kutumbuiza katika bonge moja la tamasha la muziki la kusheherekea Uhuru wa nchi hiyo.
Kumekuwa na maswali mengi kupitia kwa mashabiki kutokana na kile ambacho kinaelezwa kwamba huenda Chris atatumbuiza peke yake na asiongozane na mpenzi wake Rihhana kutokana na matatizo yao ya mahusiano yaliyoibuka hivi karibuni dhidi ya hasimu wake Drake.

 
Licha ya kuwepo kwa uvumi huo Chris Brown amesistiza kuwa bado anampenda mpenzi wake na wako pamoja na kuahidi kutoa show kali akisindikizwa na wasanii mbalimbali wakiwemo wasanii wachanga nchini Ghana wakiwemo R2Bees, D-Black na SherifaGunu

Posted by Bigie on 10:29 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.