Kocha wa Nigeria kujiuzuru baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa Ubingwa wa AFCON


Kocha wa timu ya soka ya Nigeria Stephen Kishi ametangaza kujiuzuru mara tu baada ya mechi ya fainali kwisha.Kocha huyo aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na moja ya vituo vya redio huko Afrika Kusini.

Pia mangazaji wa Super Sport alithibitisha kujiuzuru kwa kocha huyo kupitia mtandao wa kijamii wa twitter, aliandika haya “stephen Keshi has just announced that he handed over his resignation letter after the game exclusively on 083Sport@6With Marawa on MetroFM”.

Posted by Bigie on 6:45 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.