"NINA ULINZI TOSHA WA BASTOLA YANGU...." HII NI KAULI YA JACK CLIFF ALIPOWEKA PICHA YA BASTOLA YAKE



Do you wanna mess with Jackie aka Diva the Boss lady? Think again, lasivyo utaishia kifo kama cha mpenzi wake na Oscar Pistorius, Reeva Steenkamp.
0878a38a7e5311e2a76e22000a9f1968_7
Apparently the sexy model ambaye hivi karibuni alijikuta akipelekewa mahakamani kwa kumtandika chupa msichana mwingine, ana kitu cha mguu wa kuku, 9mm, pistol vyovyote utakavyopenda kuiita .

“This is for security purpose nat harmful to anyone looool,” Jackie ameandika. Tazama picha zingine za mrembo huyu.
c3f1e7fe80a411e2a1c022000a1fb718_7
e8f190a27e8f11e29deb22000a1f9355_7
e81d92727e9211e2aef922000a9f3c05_7

Posted by Bigie on 1:35 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.