BAADHI YA PICHA ZA JENGO LA GHOROFA 16 LILILOPOROMOKA LEO JIJINI DAR


Baadhi ya watu waliowahi kufika kujaribu kutoa msaada bila mafanikio hapa wakiwa wamekwama baada ya kukosa vifaa vya kutosha.…
Baadhi ya watu waliowahi kufika kujaribu kutoa msaada bila mafanikio hapa wakiwa wamekwama baada ya kukosa vifaa vya kutosha.
Wahindi nao walikuwapo kutoa msaada.
Waokoaji wakijitahidi kutumia mikono kuondoa kifusi hicho ili kuweza kuwaokoa watu waliofukiwa.
Trekta likiondoa kifusi eneo la ajali.
...Waokoaji wakiwa hoi.
Juhudi zinaelekea kulala.


RAIS KIKWETE  amemwagiza mkuu wa Mkoa DSM Said Meck na Kova kwamba Mwenye Jengo, Mhandisi wa jiji aliyetoa kibali cha ujenzi na Mhandisi Mkaguzi wote wapatikane (wakamatwe) na hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao..

Posted by Bigie on 9:00 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.