DONDOO ZA SASA KUHUSU GHOROFA LILILOANGUKA DAR....MIILI 28 IMEPATIKANA


-Miili ya watu 28 imepatikana

-Kwa sasa sehemu ya chini (Basement) ya jengo hilo inafukuliwa ili kuona kama kuna miili ya watu.

-Wafiwa walalamika kuhusu urasimu unaofanyika katika kupata fedha za msaada za kusafirisha miili ya ndugu zao. Wahusika hawatoi fedha hizo kwa wakati na hawazingatii umbali ambao mwili utasafirishwa. Fedha hizo zimetolewa na Serikali

-Bohari ya madawa Tanzania (MSD) imetoa dawa kwaajili ya kutibia majeruhi,dawa hizo zimewasilishwa hospitali ya Muhimbili.

Posted by Bigie on 10:14 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.