MAKAHABA WA KISUMU WALIAHIDI OFA YA "KUFANYA MAPENZI BURE" ENDAPO RAILA ATASHINDA....

Nadhani  ulipata kuisikia  ile  ofa  ya  makahaba  wa  Nigeria  ambao  waliahidi  kufanya  mapenzi  bure  endapo timu  yao  ingeshinda.....

Bahati  nzuri  timu  ilishinda....kilichoendelea  tumwachie  shetani.

Makahaba  wa  kisumu  nao  wameona  "isiwe  tabu" ....kupitia  ukurasa  wa  facebook  walitoa  ofa  ya  kugawa  penzi  bure  endapo  odinga  ataibuka  mshindi....

Hii  ndo  post  yao:
 "Kisumu prostitutes promise FREE s*xincase of a Raila win .and the deal gets sweeter when its a first round win, well free head n s*xon top a man in Nyeri has bet to CHOP off his balls incase Uhuru losses in the elections. keep it here for more wiered news from across the board"


Matokeo  hayajatoka  ya  urais  bado  hayajatangazwa  rasmi.... 

source:kenyan daily post

Posted by Bigie on 11:13 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.