STEVE NYERERE AJIPANGA KUMFANYIA PATY RAIS KIKWETE



Muigizaji mahiri wa filamu nchini Steve Nyerere baada ya kufanya vyema na filamu yake iliyoleta mapinduzi nchini ya ‘Mr President’ hivi sasa muiigizaji huyo yupo mbioni kufanya uzinduzi wa filamu yake mpya ‘Goodbye Mr President’.

Akiongea na BK Cop Steve amesema katika uzinduzi huo amepanga pia kufanya sherehe kwa ajili ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni rais aliyeonyesha kupenda michezo na kuinua wasanii wa nchini Tanzania.

Steve Nyerere anakuwa msanii wa kwanza kutoka Bongo Movie Tanzania kupanga mikakati ya kufanya kitu Special kwa ajili ya Mr President

Posted by Bigie on 1:59 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.