Rais Kikwete azindua kiwanda cha Chai mkoani Njombe
habari za kitaifa 7:06 AM
Rais Jakaya Kikwete akifunua kitambaa kwenye jiwe la msingi wakati akizindua kiwanda kipya cha chai cha Ikanga, Njombe, ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi rasmi wa mkoa mpya wa Njombe Ijumaa Oktoba 18, 2013.Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mufindi Tea Company Group Bwana Noel Smith
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mufindi Tea Company Group Bwana Noel Smith kabla ya kuzindua kiwanda kipya cha chai cha Ikanga, Njombe, ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi rasmi wa mkoa mpya wa Njombe Ijumaa Oktoba 18, 2013.
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakikagua chai ikichambuliwa katika kiwanda cha chai cha Ikanga, Njombe, ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi rasmi wa mkoa mpya wa Njombe Ijumaa Oktoba 18, 2013.
Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipata maelezo ya kiwanda kipya cha chai cha Ikanga, Njombe,kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mufindi Tea Company Group Bwana Noel Smith baada ya kukizindua ikiwa ni sehemu ya sherehe za uzinduzi rasmi wa mkoa mpya wa Njombe Ijumaa Oktoba 18, 2013.
Posted by Bigie
on 7:06 AM.
Filed under
habari za kitaifa
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0