Huddah Monroe Azindua Vazi lake jipya Akiwa Uchi wa Mnyama!
udaku 4:59 AM
Msanii maarufu wa Kenya, Huddah Monroe amezindua vazi lake jipya kwa staili ya kipekee na ya aina yake.....
Katika uzinduzi huo, mrembo huyo ameamua kujianika hadharani akiwa uchi wa mnyama, juu akiwa amevaa vazi lake jipya alilolizindua.( Tazama picha hapo chini)
Picha hiyo ilisindikizwa na ujumbe usemao: "Everyday above ground is a blessing . What Jah bless , No man curse! ✌️"
Baadaye akaweka picha nyingine yenye ujumbe TATA Usemao:
"No fat Zone! Take ya lame ass to the gym and let the ones who got bodies to show off - Show it off! 😆😆. As long as my VAGINA is not showing , you are the one who is naked! 😋"
Hizi ni picha zingine za mrembo huyu akiwa ndani ya vazi hilo