Napenda Kuwa Maarufu Kama Kina Wema Sepetu, Mwili Mzuri Ninao Nifanyaje?


Mimi ni Msichana na miaka 19 , Napenda sana kuwa Maarufu ila sijui pa Kuanzia...
Naomba uniweka katika blog nami nijulikane ntakutumia picha zaidi kwenye e-mail...naitwa Fatuma nipo Dar Kijitonyama, na Kama kuna msanii atapenda kunitumia kwenye video yake niko tayari

Posted by Bigie on 7:01 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.