Posted by Bigie
habari za kitaifa,
husna,
PICHA ZA UCHI
1:38 AM
MISS Sinza 2011, Husna Maulid, juzikati ameibuka na kudai kwamba katika maisha yake hajawahi kutoa penzi kwa msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’.
Husna aliyasema hayo Mei 15 mwaka huu baada ya kuvumishiwa kuwa anatoka kimapenzi na staa huyo na kwamba, kwa sasa hakuna kificho chochote kwani hadi picha zinazowaonyesha ukaribu wao zimezagaa kwenye mtandao.
“Sijawahi kutoka na Mwana FA, zaidi ya kufanya naye tangazo ambalo niliombwa na dada’ngu, Mboni Masimba nikafanye naye kwa ajili ya shoo ambayo anaiandaa hivi karibuni, wanaonihusisha na mapenzi na Mwana FA hawanitendei haki hata kidogo maana sijawahi hata kuwa na wazo naye,” alisema Husna Maulid.
Posted by Bigie
BONGO MOVIE,
husna,
picha za utupu
7:46 AM
HUU NDO MKASA AMBAO HUSNA HATAUSAHAU MAISHANI MWAKE.........HILI NDO SIMULIZI LALE BAADA YA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUSAMBAA....
------------------------------------------------------------------
“Ni kweli ni picha zangu, nilipigwa na boyfriend wangu wa zamani, Frank ambaye ni mdogo wake Queen Suzy (Suzan Chubwa). Najuta sana kukubali kupiga,” alisema huku akimwaga machozi.

“Kipindi nikiwa na Frank, niligundua ana mwanamke mwingine nikamwambia aachane naye, lakini nikaambulia kipigo. Hata mama yangu alikuwa hataki mimi niwe naye maana alikuwa akinigeuza ngoma kwa kipigo.
“Niliongea na wifi Suzy (Queen) akasema atazungumza naye, lakini haikusaidia kitu. Nikaamua kuachana naye. Ndipo aliponipigia simu na kuniambia atanifanyizia kwa sababu alikuwa na picha zangu za utupu.
“Kwa kuhofia aibu, nikakubali kurudiana naye, lakini tabia zake zikazidi kunichefua, baadaye nikaachana naye jumla. Alinipigia simu kunitisha kuwa akinikuta na mwanaume mwingine atanishikisha adabu, lakini sikujali.

“Kuna wakati alinipigia simu na kunieleza kuwa flashi iliyokuwa na picha zangu za utupu pamoja na Mary (aliyekuwa mpenzi wa Frank ambaye naye alipigwa picha kama hizo) imepotea.
“Nilipombana kuhusu mazingira ya kupotea hakuwa na maelezo yanayoeleweka, sikutilia maanani, nilipopigiwa simu na kuambiwa kuwa kuna picha zangu za utupu nilikumbuka maneno yake... mimi nahisi ni Frank atakuwa amecheza mchezo huu,” alisema Husna akiendelea kumwanga machozi. -------------------------------------------------------------
USHAURI WETU:
PENZI LA KWELI HALIPIMWI KWA PICHA ZA UTUPU .....MWANAUME AKIOMBA AKUPIGE PICHA YA UTUPU NI BORA UACHANE NAE AU MWAMBIE AANZE YEYE KUPIGA UCHI