TIKO HASSAN ADATA NA PENZI LA MUME WA MTU
Posted by Bigie BONGO FLEVA, BONGO MOVIE, habari za kitaifa, tiko hassan 8:28 PMMSANII wa filamu ambaye anadili na muziki pia, Tiko Hassan amemtungia wimbo mpenzi wake wa sasa ambaye ni mume wa mtu kwa lengo la kupalilia penzi.
Tiko aliliambia mekuzi kuwa ni kweli amekuwa kwenye uhusiano na mume wa mtu ambaye anampenda na kumthamini na katika kulilinda penzi ameamua kutunga wimbo kusifu yale anayopata kutoka kwa mwanaume huyo.
“Ni mwanaume anayeonesha mapenzi ya dhati kwangu, ananijali na kunithamini sana ndiyo maana nimeona nioneshe hisia zangu kupitia wimbo nilioupa jina la Mimi na Wewe,” alisema Tiko.
Amesema watu wanaweza kumshangaa kwa kunga’nga’nia penzi la mume wa mtu lakini akadai haoni hatari kwa kuwa anapata anachokitaka.

.
Featured Post
NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne ambayo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...