AUDIO: UKWELI - BY MOPLUS FT.ROMA


Moplus a.k.a. baba wa ukoo amshirikisha  Roma mkatoliki na  Banx  katika pini linalokwenda kwa jina "Ukweli" lilofanywa arachuga chini ya producer defxtro ndani ya noizmekah studios,ikiwa ni nyimbo inayozungumzia jamii kiundani,moplus anasema "Na appreciate sana Mchiz kufanya collaboration na mimi katika project zangu,na nadhani ngoma hii mpaka sasa ndio itakayobeba album yangu "baba wa ukoo volume 2 kwa jinsi ni concious joint.Other projects zitakazofikia media hivi punde ni pamoja na ile video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu sana,Video ya "X-RAY" nilofanya nam2 mzima mwenzangu JohMakini..Defxtro amekwisha nikabidhi mzigo wangu so fans wote tuendeleze safari hii ya muziki wangu kwa maana Mola alishabusu safari...

Posted by Bigie on 10:13 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.