BILLIONAIRE'S CLUB PART 1- MOVIE KALI YA KI NIGERIA
MOVIE 6:48 PM
Weekend imeanza watu wangu na hivyo nimeona nianze kuwapa vitu motomoto kwa ajili ya mapumziko ya weekend
Kwa siku kama ya leo naamini wengi wetu tupo na "watu wetu" katika mishe mishe za hapa na pale.Popote ulipo katika mapumziko yako,tafadhari pumzika na ngoma hii ya BILLIONAIRE'S CLUB.
Katika movie hii,mwanaume mmoja mme wa mtu anaamua kukimbilia kwa rafiki yake ambaye ni tajiri sana ili naye apate kujikwamua kiuchumi.Rafiki yake anamkubalia na kumwambia kuwa anatakiwa ajiumne na mtandao wao,lakini kwa sharti kwamba ni LAZIMA AMTOE MKE WAKE SADAKA!!..
NINI KILIENDELEA??? FUATILIA MOVIE HII KWA UMAKINI.
KAMA UNATAKA KUANGALIA PART 2,BOFYA HAPA << PART 2>>>






