RIHANNA AINGIA KANISANI AKIWA NUSU UCHI
JAMII 5:06 AM
Mwanamuziki Rihanna Pichani juu, alitinga kanisani RIO Ijumaa iliyopita akiwa kwenye kivazi anachoonekana nacho hapo juu. Mwanadada huyu matata kwenye jukwaa la muziki amekuwa na vituko vingi sana kwa siku za hivi karubuni. Mbali na kuvaa half nacked mrembo huyu pia alivaa cheni aliyokuwa na maneno ma-nne kinyume na maadili ya kanisa hilo






