DR.SHEIN AWAPONGEZA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE NA SITA WALIOFANYA VYEMA KATIKA MITIHANI YAO


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akipokea risala kutoka mwanafunzi Ali Omar Ali,kwa niaba ya wanafunzi bora wa kidato cha nne na sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,alipowapongeza ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akitoa zawadi kwa mwanafunzi Ali Hemed Ali,wa kidato cha sita,Skuli ya Utaani Pemba,(Mombasa) kati ya wanafunzi waliofanya vizuri zaidi, mwaka 2010-2011 Hafla ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akitoa zawadi kwa Mwanaidi Makame Ali,wa kidato cha sita,Skuli ya Biashara,(Mombasa) kati ya wanafunzi waliofanya vizuri zaidi,mwaka 2010-2011 Hafla ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akitoa zawadi kwa mwanafunzi Mahmoud Idrisa Abeid,wa kidato cha nne,Skuli ya sekondari ya Lumumba, kati ya wanafunzi waliofanya vizuri katika masomo yao,ya mwaka 2010-2011 katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na walimu na wanafunzi bora wa kidato cha nne na sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,alipowapongeza ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya walimu waliohudhuria katika hafla ya kuwapongeza wanafunzi waliofaulu vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, alipozumza na wanafunzi hao Ikulu Mjini Zanzibar

Baadhi ya wanafunzi bora wa kidato cha nne na sita,waliofanya vizuri katika masomo yao kwa mwaka 2010-2011,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika hafla ya kuwapongeza kutokana na kufaulu vizuri katika mitihani yao,huko Ikulu Mjini Zanzibar.

Posted by Bigie on 10:52 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.