ISABELA AMBAYE JUZI ALIVUA NGUO ZOTE HADHARANI ATAMBA KUWA LULU MICHAEL HAMUWEZI " KIMAPENZI"
JAMII 7:11 AM
Msanii wa kuigiza ambae anakuja juu kwa skendo za kuacha watu midomo wazi ( Isabela a.k.a Vai wa ukweli) amefunguka kwa kusema yeye ni zaidi ya lulu na huwezi kumlinganisha na Mtoto mdogo Elizabeth a.k.a Lulu,"am next level Lulu haniwezi hata kimapenzi niko juu.
"Najua sana mapenzi kuliko kuigiza so najivunia kuwa na vipaji vingi kadri siku zinavyokuja ntaviweka hadharani" alitamba isabela.
Wadodosaji wa habari za kichokonozi wanadai kuwa Pamoja na umahiri wa Lulu kuwa na wanaume tofautitofauti aliwahi kuzimia pindi alipokutana kimaungo na msanii wa Hip hop wa siku nyingi na aliewahi kutangaza katika kituo cha televisheni ya vijana na hivyo hakutaka kurudi kwa msanii huyo tena.
vai wa ukweli akijishebedua kwa ishala,watu wazima mtaelewa nini anachoongea .Binti huyu mdogo kabisa kiumri amevamia sanaa ya uigizaji kwa maskendo mazito.
WAPEKUZI tunaendelea kumtafuta Lulu nae tuone anasemaje kuhusu hili
Juzi kati,binti huyu alilipotiwa kunywa pombe kupita kiasi hali iliyopelekea kuvua nguo zote hadharani na kubaki na "tight tu"
Isabela "Vai wa Ukweli" akiwa chakali kwa mitungi.
Nguo zilikuwa nzito akaona bora apunguze uzito









