MAONI YAKO:: NI SABABU GANI ZILIZOFANYA CHADEMA WAKOSE NAFASI ZA UDIWANI MKOANI IRINGA NA HALI ILIKUWA NI "NGOME YA CHADEMA?"
JAMII 5:33 PM
Aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kitanzini Gervas Kalolo akiwa na mbunge wa jimbo la Iringa mjini na mwenyekiti wa Chadema wilaya Mchungaji Peter Msigwa
1.Je wajua sababu za kushindwa vibaya kwa Chadema katika nafasi ya udiwani kwa kata ya Kitanzini, na Gangilonga jimbo la Iringa mjini ambalo linatajwa kuwa ni ngome ya Chadema?
2.Unafikiri utendaji kazi wa mbunge wa jimbo la Iringa mjini na matumaini ya wapiga kura wa jimbo hilo kwa mbunge wao yanazidi kukua ama kuporomoka?
3.Kwa matokeo haya ya udiwani bado jimbo la Iringa ni ngome ya Chadema?
4.Wagombea wa Chadema kata za Gangilonga na Kitanzini walikuwa wanahitajika kwa wananchi?
5.Nini mategemeo ya Chadema kwa uchaguzi mkuu ujao katika jimbo la Iringa mjini?
Karibu kwa kutoa maoni yako sasa na usikose kutembelea tena na tena ili kujua sababu za Chadema kufanya vibaya katika uchaguzi h






