MATOKEO IGUNGA: FURAHA YATAWALA KWA VIONGOZI NA WANACHAMA WA CCM BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA: PICHA ZA TUKIO ZIMA
JAMII 11:15 PM
Mgombea wa jimbo la Igunga kupitia CCM Dr. Peter Kafumu.
Jopo la wataalam wa CCM wakijumlisha matokeo usiku wa kuamkia leo, kutoka kwa mawakala wa CCM kutoka vituo mbalimbali baada ya uchaguzi mdogo jimbo la Igunga kumalizika. Hadi sasa matokeo yanaonyesha kwamba CCM imeongoza
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama na Katibu wa NEC Uchumi, Fedha, Mwigulu Nchemba na baadhi ya watu waliokuwa katika hoteli ya The Peak mjini Igunga wakishangiliabaada ya kupata matokeo ya awali kutoka kwenye vituo kwamba CCM inaongoza
Mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT) John Komba aking'ang'aniwa kwa furaha na watu waliopata matokeo ya awali kuwa CCM imeshinda










