MELI YA KIVITA TOKA AFRIKA KUSINI YATIA NANGA DAR ES SALAAM
JAMII 7:37 PM
Meli ya Kijeshi kutoka Afrika Kusini SAS DRAKENSBERG ikiwa imetia nanga katika bandari ya Dar es salaam kwa ajili ya mazoezi ya kijeshi ya nchi za SADC ikiwa na wanajeshi wa Kenya,Msumbiji,Tanzania,Zimbabwe na wenyewe Afrika Kusini.






